Nyembelele
Mandhari
(Elekezwa kutoka Baeopogon)
Nyembelele | ||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
| ||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||
Jenasi 10, spishi 30 za nyembelele:
|
Nyembelele ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Pycnonotidae. Wanafanana na shore waliomo katika takriban kila bustani, lakini wana rangi ya zaituni juu na nyeupe, kijivu au njano chini. Korogoto ni ndege wengine katika familia hii. Wanatokea misitu na maeneo mengine yenye miti katika Afrika kusini kwa Sahara. Hula matunda na mbegu hasa lakini wadudu pia. Tago lao hujengwa mtini na jike hutaga mayai 2-5. [onesha uthibitisho]
Spishi
[hariri | hariri chanzo]- Andropadus importunus, Kuruwiji (Sombre Greenbul)
- Andropadus i. insularis, Kuruwiji wa Zanzibari (Zanzibar sombre greenbul)
- Andropadus i. importunus, Kuruwiji wa Transvaal (Transvaal sombre greenbul)
- Andropadus i. oleaginus, Kuruwiji wa Endoto (Endoto sombre greenbul)
- Andropadus i. hypoxanthus, Kuruwiji wa Msumbiji (Mozambique sombre greenbul)
- Arizelocichla chlorigula, Nyembelele Koo-kijani (Yellow-throated greenbul)
- Arizelocichla fusciceps, Nyembelele wa Poroto (Black-browed Greenbul)
- Arizelocichla kakamegae, Nyembelele wa Kakamega (Kakamega Greenbul)
- Arizelocichla kikuyuensis, Nyembelele Kikuyu (Olive-breasted Greenbul)
- Arizelocichla masukuensis, Nyembelele wa Shelley (Shelley's Greenbul)
- Arizelocichla m. masukuensis, Nyembelele wa Nandi (Nandi Mountain Greenbul)
- Arizelocichla m. roehli, Nyembelele wa Masuku (Masuku Mountain Greenbul)
- Arizelocichla milanjensis, Nyembelele Mashavu-michirizi (Stripe-cheeked Greenbul)
- Arizelocichla montana, Nyembelele wa Kameruni (Cameroon Greenbul or Cameroon Mountain Greenbul)
- Arizelocichla neumanni, Nyembelele wa Uluguru (Uluguru Mountain Greenbul)
- Arizelocichla nigriceps, Nyembelele-milima (Mountain Greenbul or Eastern Mountain Greenbul)
- Arizelocichla olivaceiceps, Nyembelele Kichwa-zeituni (Olive-headed greenbul)
- Arizelocichla striifacies, Nyembelele Uso-michirizi (Stripe-faced Greenbul)
- Arizelocichla tephrolaema, Nyembelele Koo-kijivu (Grey-throated Greenbul or Western Mountain Greenbul)
- Atimastillas flavicollis, Nyembelele Koo-njano (Yellow-throated leaflove)
- Atimastillas f. flavicollis, Nyembelele Koo-njano Magharibi (Western yellow-throated leaflove)
- Atimastillas f. flavigula, Nyembelele Koo-njano wa Uganda (Uganda yellow-throated leaflove)
- Atimastillas f. soror, Nyembelele Koo-njano wa Bosum (Bosum yellow-throated leaflove)
- Baeopogon clamans, Nyembelele Mkia-mweupe (Sjöstedt's au White-tailed Greenbul)
- Baeopogon indicator, Nyembelele Kiongozi (Honeyguide Greenbul)
- Calyptocichla serinus, Nyembelele Tumbo-dhahabu (Golden Greenbul)
- Chlorocichla falkensteini, Nyembelele Kisogo-njano (Falkenstein's au Yellow-necked Greenbul)
- Chlorocichla flaviventris, Nyembelele Tumbo-njano (Yellow-bellied Greenbul)
- Chlorocichla laetissima, Nyembelele Furaha (Joyful Greenbul)
- Chlorocichla prigoginei, Nyembelele wa Prigogine (Prigogine's Greenbul)
- Chlorocichla simplex, Nyembelele Kope-nyeupe (Simple Greenbul)
- Eurillas ansorgei, Nyembelele wa Ansorge (Ansorge's Greenbul)
- Eurillas curvirostris, Nyembelele Domo-pindo (Plain Greenbul)
- Eurillas gracilis, Nyembelele Kijivu (Little Grey Greenbul)
- Eurillas latirostris, Nyembelele Masharubu-njano (Yellow-whiskered Greenbul)
- Eurillas virens, Nyembelele Mdogo (Little Greenbul)
- Ixonotus guttatus, Nyembelele Madoa (Spotted Greenbul)
- Neolestes torquatus, Nyembelele Mkufu-mweusi (Black-collared Bulbul)
- Stelgidillas gracilirostris, Nyembelele Domo-jembamba (Slender-billed Greenbul)
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Kuruwiji wa Tranvaal
-
Nyembelele koo-kijani
-
Nyembelele wa Kakamega
-
Nyembelele mashavu-michirizi
-
Nyembelele-milima
-
Nyembelele uso-michirizi
-
Nyembelele koo-njano wa Uganda
-
Nyembelele furaha
-
Nyembelele kope-nyeupe
-
Nyembelele kijivu
-
Nyembelele masharubu-njano
-
Nyembelele mdogo
-
Nyembelele domo-jembamba