Andrea Barzagli

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha ya Andrea Barzagli

Andrea Barzagli (alizaliwa tarehe 8 Mei 1981) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama beki wa katikati wa klabu ya Juventus.

Barzagli alimuoa mkewe Maddalena mwezi Julai 2013 na wana mtoto mmoja wa kiume, Mattia na mmoja wa kike, Camilla.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Andrea Barzagli kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.