Ambwene Yessayah

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
A.Y., 2014
AY.

Ambwene Allen Yessayah (amezaliwa tar. 5 Julai 1981, Mtwara) ni mwanamuziki wa muziki aina ya Komesho, Rap na Hip Hop, Muigizaji na pia mwanamitindo kutoka nchini Tanzania. Anafahamika zaidi kwa jina la AY. AY ametoa nyimbo nyingi maarufu nchini Tanzania, moja kati ya nyimbo hizo kama vile Raha tu 1-2, Raha Kamili, Machoni kama watu, Binadamu nk.

AY ambaye anafahamika sana nchini Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi hadi Kusini mwa Afrika. Vile vile alikuwa mwanakikundi wa East Coast Team linaloongozwa na Gwamaka Kaihula aliye maarufu kama King Crazy GK, na mwenzake Khamis Mwinjuma maarufu kama Mwana Falsafa au Mwana FA. Kundi hilo la Muziki lina maskani yao Upanga jijini Dar es salaam.

Albamu Alizotoa[hariri | hariri chanzo]

  1. Raha Kamili (2003)
  2. Hisia Zangu (2005)
  3. Habari ndiyo hiyo (2008)

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Afrika bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ambwene Yessayah kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Pia Ambwene Allen Yesaya alimaarufu 'AY' aliwashikirisha ndugu wawili kutoka Nigeria wanaounda kundi la P-SQUARE.