Alfayo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Alfayo ni jina la mwanamume linalotajwa katika Agano Jipya kama baba wa wawili kati ya Mitume wa Yesu, yaani:

Hakuna taarifa yoyote kwamba hao walikuwa ndugu, hivyo inawezekana wazazi wao walikuwa tofauti ila wenye jina moja.

Wengine wanasema baba Yakobo ndiye Kleopa, mume wa Maria (mama) wa Yakobo.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Mk 2:14
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alfayo kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.