Alessandro Florenzi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Florenzi akiwa AS Roma.

Alessandro Florenzi (matamshi ya Kiitalia: [alessandro florɛntsi]; alizaliwa 11 Machi 1991) ni mchezaji wa soka wa Italia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya AS Roma na timu ya taifa ya Italia.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Alessandro Florenzi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.