AC Milan

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
hiyo ndiyo nembo ya AC Milan

AC Milan ni timu ya mpira wa miguu iliyoanzishwa na Herbet Kilpin, Alfred Edwards, tarehe 16 Desemba 1899. Timu hii itabakia katika historia ya timu kubwa duniani.

Uwanja wake wa nyumbani unaitwa San Siro. Kwa sasa kocha wa AC Milan anaitwa Gennaro Gattuso.

Kati ya wachezaji wa sasa wa AC Milan kuna Josè Mauri, Riccardo Montolivo, Ricardo Rodŕiguez, Antonio Donnaruma, Ignazio Abate n.k.

Sports icon.png Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu AC Milan kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.