Nenda kwa yaliyomo

San Siro

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja ukiwa hauna watu.

Uwanja wa Giuseppe Meazza (matamshi ya Kiitalia: [dʒuˈzɛppe meˈattsa]; maarufu sana kama San Siro) ni uwanja wa soka unaopatikana huko Milano, Huu ni uwanja wa nyumbani wa klabu ya AC Milan na Internazionale (Inter Milan).

San Siro mwaka 2009.

Una uwezo wa kubeba takriban watu 80,018, ndiyo maana ni kimoja kati ya viwanja vikubwa barani Ulaya, na kikubwa zaidi nchini Italia.

Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu San Siro kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.