Nenda kwa yaliyomo

Akihito wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Tenno Akihito

Akihito (amezaliwa 23 Desemba 1933) alikuwa mfalme mkuu (Tenno) wa Japani. Alimfuata baba yake, Hirohito, tarehe 7 Januari 1989.

Bunge la Japani lilibadilisha sheria ili kumruhusu kujiuzulu mwaka 2019 kwa ajili ya uzee na afya yake.

Hatimaye alijiuzulu tarehe 30 Aprili 2019 akiwa mfalme wa kwanza baada ya miaka 200 aliyechukua hatua hiyo[1]. Alifuatwa na mwanawe Naruhito.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Akihito to become first Japanese Emperor to abdicate in 200 year, tovuti ya CNN ya 1 Deisemba 2017
Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Akihito wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.