Adrien Tameze
Jump to navigation
Jump to search
Adrien Tameze (alizaliwa 4 Februari 1994) ni mchezaji wa soka wa Kamerun ambaye alizaliwa huko Ufaransa na anacheza kama beki wa klabu ya OGC Nice iiliyopo nchini Ufaransa.
Adrien Tameze ni wa asili ya Kameruni lakini alizaliwa Ufaransa na kupewa uraia wa Ufaransa.
![]() |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adrien Tameze kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |