Adili (fasihi)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Adili katika fasihi ni funzo linalopatikana katika kazi ya sanaa kama hadithi, shairi au tamthiliya.

Hasa kazi zinazo mwelekeo wa kimaadili kama vitabu vya Kiswahili vya Shaaban Robert zina funzo, yaani mafundisho juu ya wema, haki na wajibu.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Oriedo, Hannington 2007, "Istilahi za Fasihi ya Kiswahili", Nairobi: Kenya Literature Bureau
  • Wamitila, Kyallo 2003, “Kamusi ya Fasihi – Istilahi na Nadharia”, Nairobi: Focus Books

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Adili (fasihi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.