Parare
Mandhari
(Elekezwa kutoka Acanthacris)
Parare | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Parare-bustani (Acanthacris ruficornis)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||||
Jenasi za Afrika 22:
|
Parare (pia barare) ni wadudu wakubwa wa jamii ya panzi wenye miiba mikubwa kwenye miguu ya nyuma. Kisayansi ni wana wa nusufamilia Cyrtacanthacridinae katika familia Acrididae. Panzi hao ni miongo mwa wakubwa kabisa wa panzi wote. Wakiruka juu hufanana na ndege wadogo (kwa hivyo jina lao la Kiingereza ni “bird locust” au “bird grasshopper”). Spishi kadhaa za nzige ni aina za parare wakiishi kiwa. Spishi nyingi za parare zina baka jeusi kwenye mabawa ya nyuma au mabawa yana rangi kali kwa msingi. Pengine mabawa ni meusi takriban kabisa.
Spishi za Afrika
[hariri | hariri chanzo]- Acanthacris ruficornis (Acanthacris)
- Acanthacris r. citrina, Parare-bustani Njano
- Acanthacris r. ruficornis, Parare-bustani
- Acridoderes arthriticus
- Acridoderes coerulans
- Acridoderes crassus Parare Mdogo Mnene
- Acridoderes laevigatus Parare Mdogo Laini
- Acridoderes renkensis
- Acridoderes sanguinea Parare Mdogo Mabawa-mekundu
- Acridoderes strenuus
- Acridoderes uvarovi Parare Mdogo wa Uvarov
- Anacridium aegyptium, Nzige-miti wa Misri (Egyptian Locust)
- Anacridium burri
- Anacridium eximium
- Anacridium illustrissimum
- Anacridium incisum
- Anacridium melanorhodon
- Anacridium m. arabafrum, Nzige-miti Arabu (Sahelian Tree Locust)
- Anacridium m. melanorhodon, Nzige-miti wa Saheli (Sahelian Tree Locust)
- Anacridium moestum
- Anacridium rehni
- Anacridium wernerellum, Nzige-miti wa Sudani (Sudanian Tree Locust)
- Bryophyma debilis, Parare Mgongo-madoa
- Bryophyma decipiens
- Congoa katangae
- Cyrtacanthacris aeruginosa, Parare Mabawa-kahawia
- Cyrtacanthacris sulphurea
- Cyrtacanthacris tatarica, Parare Mabaka-meusi
- Finotia polychroma
- Finotia radama
- Finotia ranavaloae
- Gowdeya picta
- Kinkalidia matilei
- Kinkalidia robusta
- Kraussaria angulifera, Parare Madoa-manne
- Kraussaria corallinipes, Parare Miguu-pinki
- Kraussaria deckeni, Parare Kahawia
- Kraussaria dius, Parare Mabaka-meupe
- Kraussaria prasina
- Mabacris guillaumeti
- Nomadacris septemfasciata Nzige mwekundu (Red Locust)
- Ordinacris viridis
- Ornithacris cavroisi
- Ornithacris cyanea, Parare Mabawa-zambarau
- Ornithacris pictula, Parare Mabawa-mekundu
- Ornithacris turbida, Parare Mabawa-machungwa
- Orthacanthacris humilicrus, Parare Miguu-manyoya
- Pachynotacris amethystinus
- Parakinkalidia rothi
- Rhadinacris schistocercoides
- Rhytidacris punctata
- Rhytidacris tectifera
- Ritchiella asperata
- Ritchiella baumanni
- Ritchiella rungwensis, Parare wa Rungwe
- Ritchiella sanguinea, Parare-milima
- Ritchiella uvarovi, Parare wa Uvarov
- Schistocerca gregaria, Nzige-jangwa (Desert Locust)
- Schistocerca g. flaviventris, Nzige-jangwa Tumbo-njano
- Schistocerca g. gregaria, Nzige-jangwa Kaskazi
- Taiacris couturieri
Picha
[hariri | hariri chanzo]-
Parare-bustani njano
-
Parare-bustani
-
Nzige-miti wa Misri
-
Nzige-miti Arabu
-
Parare mabawa-kahawia
-
Parare mabaka-meusi
-
Parare madoa-manne
-
Nzige mwekundu
-
Parare wa Saheli
-
Nzige-jangwa
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Parare kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |