Nenda kwa yaliyomo

Abbas Zuberi Mtemvu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Abbas Zubeir Mtemvu)

Abbas Zuberi Mtemvu (alizaliwa 1 Novemba 1959) ni mbunge wa jimbo la Temeke (Mkoa wa Dar es Salaam) katika bunge la taifa la Tanzania tangu mwaka 2005.[1] Anatokea katika Chama cha Mapinduzi (CCM).[2]

Abbas Zuberi Mtemvu ni mmoja wa wanasiasa tajiri anayetajwa kama maarufu. Kulingana na utafiti wa Forbes juu ya biashara zake, thamani ya mali zake ni takribani Dola za Marekani milioni 1.5.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. "Mengi kuhusu Abbas Zubeir Mtemvu". 13 Julai 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.
  2. "Parliament of Tanzania". web.archive.org. 2014-03-30. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-30. Iliwekwa mnamo 2025-02-01.{{cite web}}: CS1 maint: bot: original URL status unknown (link)
Makala hii kuhusu kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Abbas Zuberi Mtemvu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.