Nenda kwa yaliyomo

Magadi Soda Company : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{ infobox company | name = Magadi Soda Company | foundation = 1911 | location_city = Kajiado | location_country = Kenya | area_served...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 08:06, 15 Julai 2010

Magadi Soda Company
Tovutihttp://www.magadisoda.co.ke

Kampuni ya Magadi ya Kenya inatengeneza bidhaa za soda na inapatikana mjini Magadi kusini magharibi mwa Kenya. Kampuni ilianzishwa 1911 kando ya Ziwa Magadi ambamo madini ya Trona yanapatiana. Kwenye kampuni madini ya trona yanageuzwa kuwa Soda jivu kisha inasafirishwa kwa njia ya reli kwenda Mombasa ambako itasafirishwa na meli kwenda Uropa ama Asia.

Magadi ni moja ya makammpuni ya Brunner Mond, Imperial Chemical Industries, na Tata Chemicals, na makao yake makuu yako Magadi, Kenya.

Usafiri

Kampuni ya Magadi inasafirisha bidhaa zake kwa kutumia njia ya reli ya Shirika la Reli la Kenya.

Ona pia

Viungo vya nje

Rejea