Rafael Correa
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rafael Vicente Correa Delgado (*6 Aprili 1963) ni mwanasiasa nchini Ekuador na tangu Januari 2007 amekuwa rais wa nchi hiyo. Ni Mkristo (Kanisa Katoliki), humanist na mchumi. Aliapata elimu yake katika vyuo vikuu vya Ekuador, Ubelgiji na Marekani. Yeye anasema Kihispania, Kiingereza, Kiquechua na Kifaransa.
Familia [hariri]
Correa alimwoa Anne Malherbe. Wana mabinti wawili Sofía Correa Malherbe, Anne Dominique Correa Malherbe, na mwana Rafael Miguel Correa Malherbe.