"Papa'z Song" ni jina la kutaja wimbo wa Tupac Shakur kutoka katika albamu yake ya pili, Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. Video yake ilitengenezwa kwa ajili ya single. Wimbo ulishika nafasi ya #24 kwenye chati za Rap nchini Marekani, #82 kwenye chati za Hip Hop/R&B na #87 kwenye chati za Billboard Hot 100.
Wimbo umemshirikisha Mopreme Shakur almaarufu kama Wycked, Kaka'ke mkubwa wa kufikia Tupac Shakur na ni mtoto wa Mutulu Shakur.
Orodha ya nyimbo [hariri]
- "Papa'z Song"
- "Dabastard's Remix"
- "Vibe Tribe Remix"
- "Peep Game" feat Deadly Threat
- "Cradle To the Grave"
|
|
|
| Albamu Zake |
|
|
| Albamu Zilizotolewa Akiwa Kafa |
|
|
| Albamu za Kompilesheni |
|
|
| Single Zake |
|
|
| Single Zilizotolewa Akiwa Kafa |
|
|
| Nyimbo Nyingine |
|
|
| Single Alizoshirikishwa |
|
|
| Makala Zinazohusiana |
|
|
|
|
|
| Albums |
|
|
| Singles |
|
|
| Related articles |
|
|