Better Dayz

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Better Dayz
Better Dayz Cover
Studio album ya 2Pac
Imetolewa 26 Novemba 2002 (US)
Imerekodiwa 1995-1996
Aina Hip hop
Urefu 112:38
Lebo Amaru/Death Row
Mtayarishaji Afeni Shakur, Suge Knight
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 2Pac
Until the End of Time
(2001)
Better Dayz
(2002)
Tupac: Resurrection (Kibwagizo Halisi)
(2003)

Better Dayz ni jina la kutaja albamu ya tatu kutolewa baada ya kifo cha hayati Tupac Shakur, na ya mwisho mpaka sasa kuwa albamu mbili pamoja.

Albamu ilitolewa mnamo mwezi wa Novemba 2002, na kushika nafasi ya 5 kwenye chati za Billboard 200. Albamu inakusanya pamoja maujanja na manyimbo remixi kadhaa yasiyotolewa kutoka katika kipindi cha Tupac cha "Makaveli" wakati anaingia mkataba na Death Row Records, na -litayarishwa na Johnny "J", Jazze Pha, Frank Nitty, na E.D.I. wa Outlawz. Vibao vikali vinajumlishwa na "My Block (remix)," "When We Ride on Our Enemies," "Catchin' Feelins" na "Never Call U Bitch Again". Pia ni pamoja na "Military Minds" ambayo ameshirikisha wanachama wa Boot Camp Clik - Buckshot na Smif-n-Wessun (ameingia kama Cocoa Brovaz) ambayo ilitakiwa iwe ushirikiano wa kialbamu baina ya Shakur na BCC lioitwa One Nation lakini haikutolewa rasmi kwa kufuatia kifo cha Shakur. Inashirikisha rekodi zisizotolewa 23 ikiwa pamoja na maremixi kadhaa ya kuanzia kipindi cha 1995-1996 pamoja na ingizo fulani la Shakur kwa ajili ya albamu kabla kupigwa risasi kinyama - ikiwa pamoja na kuonekana kwake Nas, Outlawz, Mýa, Jazze Pha, Ron Isley, na Tyrese, na wengine wengi. Single bab-kubwa, "Thugz Mansion," imekuja katika matoleo mawili: toleo la akustika la Nas, ambayo muziki wake wa video umetokana na toleo la hip-hop akimshirikisha Anthony Hamilton. Mnamo tar. 31 Januari 2003, ilitunukiwa 2x Platinum nchini Marekani.[1]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

Diski 1[hariri | hariri chanzo]

# Jina Waimbaji Watayarishaji
1 "Intro" 2Pac 7 Aurelius
2 "Still Ballin'" 2Pac akishirikiana na Trick Daddy Johnny j - Remixed by Nitty
3 "When We Ride On Our Enemies" 2Pac D. Thomas - Remixed by BRISS
4 "Changed Man" 2Pac akishirikiana na Jazze Pha and T.I. Johnny j - Remixed by Jazze Pha
5 "Fuck Em All" 2Pac akishirikiana na Outlawz Johnny J
6 "Never B Peace" 2Pac akishirikiana na E.D.I. and Kastro Johnny J - Remixed by Nitty
7 "Mama's Just a Little Girl" 2Pac Johnny J
8 "Street Fame" 2Pac Daz Dillinger - Remixed by BRISS
9 "Whatcha Gonna Do?" 2Pac akishirikiana na Outlawz Johnny J - Remixed by E.D.I.
10 "Fair Xchange" 2Pac Johnny J - Remixed by Jazze Pha
11 "Late Night" 2Pac akishirikiana na Outlawz DJ Quik
12 "Ghetto Star" 2Pac akishirikiana na Nutt-so Go-Twice
13 "Thugz Mansion" (Acoustic Version) 2Pac akishirikiana na Nas Johnny J, Remixed by Claudio Cueni

Disc 2[hariri | hariri chanzo]

# Title Performer(s) Producer(s)
1 "My Block" (remix) 2Pac Easy Mo Bee - Remixed by Nitti
2 "Thugz Mansion" 2Pac Johnny j - Remixed by 7 Aurelius
3 "Never Call U Bitch Again" 2Pac akishirikiana na Tyrese Johnny J
4 "Better Dayz" 2Pac akishirikiana na Ron Isley Johnny j
5 "U Can Call" 2Pac akishirikiana na Jazze Pha Johnny J - Remixed by Jazze Pha
6 "Military Minds" 2Pac akishirikiana na Cocoa Brovaz and Buckshot Darryl “Big D” Harper - Remixed by E.D.I.
7 "Fame" 2Pac akishirikiana na Outlawz Hurt M Badd
8 "Fair Xchange" (remix) 2Pac akishirikiana na Mya Johnny J - Remixed by Troy Johnson
9 "Catchin' Feelins" 2Pac akishirikiana na Outlawz Unknown - Remixed by E.D.I.
10 "There U Go" 2Pac akishirikiana na Outlawz Johnny J
11 "This Life I Lead" 2Pac akishirikiana na Outlawz Johnny J
12 "Who Do U Believe In?" 2Pac akishirikiana na Kadafi na Big Pimpin' Delemond Johnny J
13 "They Don't Give A Fuck About Us" 2Pac akishirikiana na Outlawz Johnny J
14 "Outro" 2Pac

Matayarisho[hariri | hariri chanzo]

Nafasi za chati za albamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Albamu Chati
Billboard 200 Top R&B/Hip-Hop Albums Canadian Albums Chart
2002 Better Dayz #5 #1 #7

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. RIAA database search Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine., 18 Novemba 2007