Hit 'Em Up
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| “Hit 'Em Up” | |||||
|---|---|---|---|---|---|
![]() |
|||||
| Single ya 2Pac featuring Outlawz kutoka katika albamu ya Greatest Hits |
|||||
| B-side | June 4, 1996 | ||||
| Muundo | 12-inch single | ||||
| Imerekodiwa | May 1996 | ||||
| Aina | Gangsta rap West Coast hip hop |
||||
| Studio | Death Row/Interscope | ||||
| Mtayarishaji | Johnny "J" | ||||
| Mwenendo wa single za 2Pac featuring Outlawz | |||||
|
|||||
"Hit 'Em Up" ni wimbo wa kudiss uliotungwa na Tupac Shakur, akishirikiana na kundi lake la rap la Outlawz. Wimbo ni wa upande wa pili wa single ya mwaka wa 1996, "How Do U Want It". Wimbo una hoja za matusi dhidi ya marapa kadhaa wa East Coast hip hop, adui mkubwa na rafiki yake wa zamani Tupac Shakur, The Notorious B.I.G.. "Hit 'Em Up" ulitayarishwa na mshirika wa kitambo wa Tupac Johnny J na amechukua sampuli ya wimbo wa "Don't Look Any Further" wa Dennis Edwards.
