Me Against the World

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Me Against the World
Me Against the World Cover
Studio album ya 2Pac
Imetolewa 14 Machi 1995
Imerekodiwa Novemba 1994 – Januari 1995
Aina West Coast hip hop, hip hop, hip hop ya kisiasa
Urefu 65:57
Lebo Interscope/Atlantic Records
Mtayarishaji Easy Mo Bee, Sam Bostic, D-Flizno Production Squad, Brian G, Shock G, Johnny "J", Mike Mosley, Tony Pizarro, Soulshock & Karlin, Le-morrious "Funky Drummer" Tyler, Moe Z.M.D.
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za 2Pac
Thug Life: Volume 1
(1994)
Me Against the World
(1995)
All Eyez on Me
(1996)
Single za kutoka katika albamu ya Me Against the World
  1. "Dear Mama"
    Imetolewa: 21 Februari 1995
  2. "So Many Tears"
    Imetolewa: 13 Juni 1995
  3. "Temptations"
    Imetolewa: 29 Agosti 1995

Me Against the World ni albamu ya tatu ya msanii wa muziki wa hip hop wa Kimarekani, 2Pac. Albamu ilitolewa tarehe 14 Machi 1995 kwenye studio ya Interscope Records.

Albamu ilirekodiwa katika majuma kadhaa kabla msanii hajaendala jela kwa kosa la kumtukana mtu matusi ya nguoni - wakati wa kesi hiyo mnamo mwaka wa 1993 ambayo kulikuwa na mwanamke mmoja wengine wawili ambao wanadai walidhalilishwa na huyu bwana. Ilikuwa hii iliopelekea kifungo cha jela na wengi wanaamini kwamba hii ndiyo iliomwinua kisanaa 2Pac kwenye rekodi, na maujanja yake inaaminika kuwa na alama zaidi za "kukiri," "kutafakari," na "majadilliano-enye moyo safi."[1]

Me Against the World, ilitolewa wakati Tupac yupo jela, ikafanya mgongano wa haraka kwenye chati, ikapanda mpaka nafasi ya kwanza mara tu baada ya kutolewa kwake, na kumfanya 2Pac kuwa msanii wa kwanza kuingiza albamu nafasi ya kwanza kwa mara ya kwanza kwenye chati za Billboard 200 wakati anatumikia kifungo chake jela. Albamu pia ilikuwa ni moja kati ya albamu za 2Pac ambazo zimepokea tathmini nzuri na kuwa na mashabiki wengi na umaarufu kwa ujumla, yenye wengi huiita juhudi yake bora ya kazi yake, na moja kati ya albamu kali za hip hop za muda wote.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Mwaka wa 1993, Tupac Shakur tayari alishakuwa na mafanikio katika tasnia ya muziki wa hip hop, akiwa na sifa au hati za uthibitisho mbili za dhahabu kwa ajili ya single zake zilizompeleka katika ishirini bora kwa chati za pop ("I Get Around", "Keep Ya Head Up"), na mauzo ya platinum kwa albamu mbili ambazo zimeweza kushika ishirini-na-tano bora za Billboard 200 (Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z.).[2][3] Hata hivyo, msanii huyu mwenye umri wa miaka 22 amepata kuwa na mfululizo wa matukio na kushtakiwa kwa makosa kadha wa kadha ya uvunjaji wa sheria.

Wakati wa kiangazi cha mwaka wa 1993, Shakur alishtakiwa kwa kosa la kumshambulia mwongozaji Allen Hughes wakati wanapiga filamu ya Menace II Society; Shakur baadaye akahukumiwa kifungo cha siku 15 jela. Baadaye, mnamo mwezi wa Oktoba 1993, Shakur alishtakiwa kwa kosa la kuwatandika maofisa wawili wa polisi ambao walikuwa hawapo-kazini huko mjini Atlanta, kulingana na jinsi mashtaka yaliyo hatimaye kesi ikafutwa.

Mnamo mwezi wa Novemba, Shakur na wenzake wawili wa katika msafara wake walishtakiwa kwa kosa la ubakaji wa mshabiki wao wa kike, tukio ambalo walikutwa na makosa na hatimaye kutumikia kifungo cha miaka 4.5 jela.[4] Kulingana na maelezo ya Shakur, albamu ilitengenezwa kwa ajili ya kuonesha wapenzi wa hip hop heshima zake katika sanaa hiyo. Kimashairi, Shakur kimakusudi alijaribu kutengeneza hii kibinafsi zaidi, makini, na juhudi kupita albamu zile za awali.[5]

Orodha ya nyimbo[hariri | hariri chanzo]

# Jina Muda Mtayarishaji Mwimbaji Sampuli[6]
1 "Intro" 1:40 Tony Pizarro Sarah Diamond, Debby Hambrick, Jay Jensen, Jill Jones, Dan O'Leary
2 "If I Die 2Nite" 4:01 Easy Mo Bee 2Pac
3 "Me Against the World" 4:40 Soulshock & Karlin 2Pac, Dramacydal
4 "So Many Tears" 3:59 Shock G 2Pac
5 "Temptations" 5:00 Easy Mo Bee 2Pac
6 "Young Niggaz" 4:53 Le-morrious "Funky Drummer" Tyler, Moe Z.M.D. 2Pac
  • Contains interpolation of "She's Strange" ya Cameo
7 "Heavy in the Game" 4:23 Sam Bostic, Mike Mosley 2Pac, Lady Levi, Richie Rich
8 "Lord Knows" 4:31 Brian G 2Pac
9 "Dear Mama" 4:39 Tony Pizarro 2Pac
  • Contains interpolation of "Sadie"
  • "In My Wildest Dreams" ya Joe Sample
10 "It Ain't Easy" 4:53 Tony Pizarro 2Pac
11 "Can U Get Away" 5:45 Mike Mosley 2Pac
12 "Old School" 4:40 Soulshock 2Pac
  • "Dedication" ya Brand Nubian
  • "We Share" ya the Soul Searchers
13 "Fuck the World" 4:13 Shock G 2Pac
14 "Death Around the Corner" 4:07 Johnny "J" 2Pac
15 "Outlaw" 4:32 Moe Z.M.D. 2Pac, Dramacydal

Historia ya chati[hariri | hariri chanzo]

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Chati (1996) Nafasi
iliyoshika
Australian Albums Chart[7] 40
Swedish Albums Chart[8] 40
U.S. Billboard 200 1
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums 1

Single[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Single Nafasi
U.S. Billboard Hot 100 U.S. Hot Dance Music/Maxi-Singles Sales U.S. Hot R&B/Hip-Hop Singles & Tracks U.S. Hot Rap Singles U.S. Rhythmic Top 40
1995 "Dear Mama" 9 1 3 1 16
"So Many Tears" 44 41 21 6
"Temptations" 68 35 13

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Huey, Steve. Me Against the World Overview at Allmusic. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-03-16.
  2. RIAA - Gold & Platinum - May 13, 2009 : Search Results - 2 Pac. RIAA. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-10-16. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
  3. [Me Against the World katika Allmusic allmusic ((( Strictly 4 My N.I.G.G.A.Z. > Charts & Awards > Billboard Singles )))]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
  4. [Me Against the World katika Allmusic allmusic ((( 2Pac > Biography )))]. Allmusic. Iliwekwa mnamo 2009-05-14.
  5. Ali, Hoye, 166.
  6. Rap Sample FAQ - Quick FAQ Search: Tupac. The-Breaks.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2006-04-17. Iliwekwa mnamo 06-02-2009.
  7. australian-charts.com - 2 Pac - Me Against The World. Australian-Charts.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-02-13. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.
  8. swedishcharts.com - 2 Pac - Me Against The World. SwedishCharts.com. Iliwekwa mnamo 2009-05-30.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Me Against the World katika All Music Guide


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Me Against the World kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.