Tupac: Resurrection
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tupac Resurrection | |
|---|---|
![]() |
|
| Imeongozwa na | Lauren Lazin |
| Imetayarishwa na | Lauren Lazin Preston Holmes Karolyn Ali |
| Nyota | Tupac Shakur |
| Muziki na | Tupac Shakur |
| Imehaririwa na | Richard Calderon |
| Imesambazwa na | Paramount Pictures |
| Imetolewa tar. | Januari 22, 2003 (Sundance) Novemba 14, 2003 |
| Ina muda wa dk. | 111 |
| Nchi | Marekani |
| Lugha | Kiingereza |
| Mapato yote ya filamu | $7,808,524 [1] |
Tupac: Resurrection ni filamu ya mwaka wa 2003 ambayo inaonesha maisha halisi na kifo cha rapa - hayati Tupac Shakur. Filamu, imeongozwa na Lauren Lazin na kusambazwa na Paramount Pictures, imehadithiwa na Tupac Shakur mwenyewe. Filamu ilianza kutolewa kwenye makumbi ya sinema mnamo tar. 16 Novemba, 2003 hadi 21 Desemba, 2003. Na kwa tarehe 1 Julai, 2008, imepata zaidi ya dola za Kimarekani milioni 7.8, na kuifanya kuwa filamu ya kumi na mbili kuhusu maisha halisi ya msanii kupata mahela mengi nchini Marekani.[2] Filamu pia imechaguliwa kwenye Academy Award.[3]
[hariri] Tazama pia
- Tupac: Ressurection - maelezo kuhusu kibwagizo na baadhi ya nyimbo zilizotolewa kwa ajili ya filamu hii.
[hariri] Marejeo
- ↑ http://www.boxofficemojo.com/movies/?id=tupacresurrection.htm
- ↑ Documentary Movies. www.boxofficemojo.com. Rudishwa juu ya 2008-07-01.
- ↑ NY Times: Tupac: Resurrection. NY Times. Rudishwa juu ya 2008-11-23.
