Newfoundland and Labrador

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yukon ndani ya Kanada
Bendera ya Yukon

Newfoundland and Labrador (/ˈnuːfɨn(d)lænd ən(d) ˈlæbrədɔr/; ufaransa: Terre-Neuve-et-Labrador) ni jimbo iliyoko Kanada. Imepakana na Quebec upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki. Hadi 1949 ilikuwa koloni ya Uingereza.

St. John's ni mji mkuu na mji mkubwa. Kunako mwaka wa 2008, idadi ya wakazi ilikuwa 508,990. Una eneo la 45,212 km².

Gavana wa jimbo ni John Cosbie.

Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1949.

Lugha rasmi ni Kiingereza.

[hariri] Miji Mikubwa

  1. St. John's (100,646)
  2. Corner Brook (20,083
  3. Grand Falls-Windsor (13,558)

[hariri] Viungo vya Nje

St. John's, Newfoundland and Labrador.



Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Newfoundland and Labrador kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.