Yukon

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Yukon ndani ya Kanada
Bendera ya Yukon

Yukon ni eneo kubwa la Kanada upande wa magharibi ya nchi. Imepakana na Marekani (Alaska) upande wa kaskazini-magharibi, Northwest Territories upande wa mashariki na British Kolumbia upande wa kusini. Ina pwani fupi na Bahari ya Aktika. Sehemu kubwa ya eneo lake ni misitu tu.

Yukon lina wakazi wapatao 33,442 (2009) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 482,443.

Whitehorse ni mji mkuu na mji mkubwa.

Gavana wa Yukon ni Dennis Fentie.

Kuna lugha rasmi 2: Kiingereza na Kifaransa

[hariri] Viungo vya Nje

Government of Yukon Official Website



Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Yukon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.