Nova Scotia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Nova Scotia | |||
| Mahali pa Nova Scotia katika Kanada | |||
|
|||
| Nchi | |||
|---|---|---|---|
| Mji mkuu | Halifax | ||
| Tovuti: http://www.gov.ns.ca/ | |||
Nova Scotia (kwa Kilatini. Kiswahili: Uskoti mpya; Kiingereza: New Scotland; Kigaeli: Alba nuadh; Kifaransa: Nouvelle-Écosse) ni jimbo la Kanada upande wa mashariki ya nchi. Imepakana na New Brunswick upande wa magharibi, Bahari Atlantiki upande wa mashariki. Nova Scotia ni jimbo dogo wa pili la Kanada. Ni moja kati ya Kanada ya majimbo ya bahari 3 (Kiingereza: Maritime provinces).
Mji mkuu na mji mkubwa ni Halifax.
Jimbo lina wakazi wapatao 939,531 (2009) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 55,283.
Gavana wa jimbo ni Mayann E. Francis.
Lugha rasmi ni Kiingereza.
[hariri] Miji Mikubwa
- Halifax (372,679)
- Cape Breton (102,250)
- Lunenburg (25,164)
[hariri] Viungo vya Nje
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nova Scotia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |