British Kolumbia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ina eneo la 1,542,056 km² ikiwa ni kubwa kati ya majimbo ya Kanada. Kuna wakazi milioni saba na nusu (7,546,131).
British Kolumbia (kwa kifupi huitwa B.K.t) ni jimbo la Kanada upande wa Bahari Pasifiki lililopo kati ya Marekani bara na Alaska. Ni mmoja kati ya majimbo makubwa ya Kanada yenye kilomita za mraba zipatazo 944,735. Kunako mwaka wa 2001, idadi ya wakazi ilikuwa 3,907,738. Kunako mwaka wa 2005, iliaminika ya kwamba idadi ya watu imefikia 4,220,000.
Mji mkuu wa British Kolumbia ni Victoria. Mji mkubwa katika British Kolombia ni Vancouver. Una wakazi wapatao milioni 2 ndani yake. Miji mingine mikubwa imejumlishwa na Kelowna, Abbotsford, Kamloops, Nanaimo, na Prince George.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu British Kolumbia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
