Prince Edward Island

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Prince Edward Island ndani ya Kanada
Bendera ya Prince Edward Island

Prince Edward Island (Kiswahili: Kisiwa cha Prince Edward; Kifaransa: Île-du-Prince-Édouard; Kigaeli: Eilean a’ Phrionnsa) ni jimbo la Kanada upande wa mashariki ya nchi. Ni kisiwa kidogo katika Ghuba ya St. Lawrence. Iko upande wa kaskazini ya Nova Scotia na mashariki ya New Brunswick. Prince Edward Island ni moja kati ya Kanada ya majimbo ya bahari 3 (Kiingereza: Maritime provinces).

Mji mkuu na mji mkubwa ni Charlottetown.

Una eneo la 53,683.56 km². Kunako mwaka wa 2009, idadi ya wakazi ilikuwa 140,402.

Gavana wa jimbo ni Barbara Oliver Hagerman.

Lugha rasmi ni Kiingereza (de facto).


[hariri] Viungo vya Nje

Province (jimbo) of Prince Edward Island Official Website

Prince Edward Island



Flag Canadian template.gif Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Prince Edward Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.