Mfereji wa Msumbiji

Majiranukta: 18°S 41°E / 18°S 41°E / -18; 41
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mahali pa Mfereji wa Msumbiji

Mfereji wa Msumbiji (kwa Kiingereza Mozambique Channel, kwa Kifaransa Canal du Mozambique, kwa Kimalagasi: Lakandranon'i Mozambika, kwa Kireno: Canal de Moçambique) ni sehemu ya Bahari Hindi iliyopo kati ya kisiwa cha Madagaska na bara la Afrika, hasa nchi ya Msumbiji.

Sehemu yake nyembamba yenye upana wa kilomita 460 iko kati ya Angoche, Msumbiji na Tambohorano, Madagaska. Urefu wake ni takribani km 1,600. Maji yake yanafikia kina cha mita 3,292 .

Mfereji huu unapitiwa na mkondo wa bahari unaopeleka maji ya vuguvugu hadi pwani ya Afrika Kusini.

Visiwa katika Mfereji wa Msumbiji[hariri | hariri chanzo]

Komori[hariri | hariri chanzo]

Maeneo ya ng’ambo la Ufaransa[hariri | hariri chanzo]

Iles Eparses (Visiwa vilivyotawanyika)[hariri | hariri chanzo]

Madagaska[hariri | hariri chanzo]

Msumbiji[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons


18°S 41°E / 18°S 41°E / -18; 41