Matthias Joseph Isuja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Matthias Joseph Isuja (amezaliwa 14 Agosti 1929) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka wa 1972. Tangu mwaka huo hadi 2005, alikuwa askofu wa Jimbo la Dodoma, alipostaafu. Kwa asili, Askofu Isuja ni Mrangi aliyetoka Haubi.

Viungo vya nje [hariri]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Matthias Joseph Isuja kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.