Jimbo Katoliki la Dodoma

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Jimbo katoliki la Dodoma (kwa Kilatini Dioecesis Dodomaensis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Dar-es-Salaam.

Askofu wake ni Gervas John Mwasikwabhila Nyaisonga.

Yaliyomo

Historia[hariri]

Uongozi[hariri]

Takwimu[hariri]

Eneo ni la kilometa mraba 41,311, ambapo kati ya wakazi 1,908,000 (2006) Wakatoliki ni 398,000 (20.9%).

Viungo vya nje[hariri]