Jim Carrey
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jim Carrey | |
|---|---|
Carrey mnamo 2008. |
|
| Amezaliwa | James Eugene Carrey 17 Januari 1962 Kanada, Newmarket, Ontario, Kanada |
| Miaka ya kazi | 1981-hadi leo |
| Ndoa | Melissa Womer (1987-1995) Lauren Holly (1996-1997) |
James Eugene Carrey (amezaliwa tar. 17 Januari, 1962) ni mshindi wa Tuzo ya Golden Globe, akiwa kama mwigizaji filamu na mchekeshaji bora wa Kikanada-Kimarekani. Anafahamika sana kwa kucheza filamu zake za kuchekesha kama vile Ace Ventura: Pet Detective, Ace Ventura: When Nature Calls, The Mask, Dumb and Dumber, Me, Myself & Irene, The Cable Guy, Liar Liar na Bruce Almighty. Carrey pia amepata mafanikio katika filamu za maigizo kama vile The Truman Show, Man on the Moon, na Eternal Sunshine of the Spotless Mind. Ameshinda tuzo ya Golden Globe mnamo mwaka wa 1999 na 2000. Mnamo mwaka wa 2008, ameigiza filamu ya Yes Man.
[hariri] Viungo vya Nje
- Jim Carrey kwenye Internet Movie Database
- Jim Carrey katika Notable Names Database
- Carrey: Life Is Too Beautiful, a summary of a November 2004 60 Minutes interview with Carrey
- Jim Carrey Biography - Cinema.com
- Top 11 Jim Carrey Film Roles on Moviefone
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jim Carrey kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |