Jane Seymour
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Jane Seymour | |
|---|---|
Jane Seymour akiwa katika red carpet ya Emmy Award kunako 11 Septemba 1994 |
|
| Amezaliwa | Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg 15 Februari 1951 Uingereza Hayes, London, Uingereza |
| Ndoa | Michael Attenborough (1971-1973) Geoffrey Planer (1977-1978) David Flynn (1981-1992) James Keach (1993-) |
| [www.janeseymour.com Tovuti rasmi] | |
Jane Seymour OBE (jina la kuzaliwa ni Joyce Penelope Wilhelmina Frankenberg mnamo tar. 15 Februari 1951) ni wmigizaji wa filamu wa Kiingereza. Anafahamika zaidi kwa kucheza filamu ya James Bond - Live and Let Die na pia kucheza katika mfululizo wa kipindi cha TV cha Dr. Quinn, Medicine Woman.
Filamu maarufu[hariri]
- Live and Let Die (1973)
- Sinbad and the Eye of the Tiger (1977)
- Battlestar Galactica (1978)
- Somewhere in Time (1980)
- The Scarlet Pimpernel (1982)
- Lassiter (1983)
- Head Office (1985)
- War and Remembrance (1988)
- Wedding Crashers (2005)
Viungo vya nje[hariri]
- Jane Seymour at the Internet Movie Database
- Jane Seymour katika TCM Movie Database
- Jane Seymour katika Internet Broadway Database
- Jane Seymour katika Movies.com
- Official website
- Jane Seymour cast bio on The WB
- Jane Seymour: Actress, Artist, and Heart-Health Activist
- Official Somewhere In Time Website
- Official fan website (FriendsOfJane.com)
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jane Seymour kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |