Felimi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Felimi (pia: Felim, Feilim, Feidlimid, Feidhlimidh, Felimy, Feidhilmethie, Feidlimthe, Fedlimid, Fedlimidh, Phelim, Phelime; aliishi Ireland karne ya 6) alikuwa mkaapweke, halafu abati na askofu huko Kilmore [1][2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 19 Juni 1902.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 9 Agosti[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano 1999.
  • Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, Roma 1961-1969.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.