Beno wa Meissen

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Johann Michael Rottmayr, 1702
Alte Pinakothek, Munich

Beno wa Meissen (Hildesheim, leo katika jimbo la Saxony-Anhalt, Ujerumani 1010Meissen, Ujerumani, 16 Juni 1106 hivi) alikuwa askofu wa Meissen kuanzia mwaka 1066 hadi kifo chake miaka arubaini baadaye, ingawa katikati aliwahi kufukuzwa na kupelekwa uhamishoni kwa sababu ya juhudi zake za kudumisha umoja wa Kanisa na kuwa mwaminifu kwa Papa[1].

Aliheshimiwa kama mtakatifu tangu karne ya 13, akatangazwa rasmi na Papa Adrian VI tarehe 31 Mei 1523.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Foxe, John; Townsend, George (1837). The Acts and Monuments of John Foxe: With a Preliminary Dissertation by the Rev. George Townsend. R.B. Seeley and W. Burnside, sold by L. & G. Seeley. uk. 121. 
  • Thurston, Herbert; Attwater, Donald, wahariri (1963). Butler's Lives of the Saints II. New York: P. J. Kennedy. uk. 556. 

Marejeo mengine[hariri | hariri chanzo]

  • Collins, David J. (2001). "Bursfelders, Humanists, and the Rhetoric of Sainthood: The Late Medieval vitae of Saint Benno". Revue Benedictine 111: 508–556. 
  • Collins, David J. (2008). Reforming Saints. Oxford: Oxford University Press. ku. 3–6, 28–39, 45–46. 
  • Soergel, Philip M. (1993). Wondrous in his Saints. Berkeley: University of California Press. ku. 181-191. 
  • Volkmar, Christoph (2002). Die Heiligenerhebung Bennos von Meißen (1523/24). Spätmittelalterliche Frömmigkeit, landesherrliche Kirchenpolitik und reformatorische Kritik im albertinischen Sachsen in der frühen Reformationszeit (Reformationsgeschichtliche Studien und Texte; 146) (kwa German). Münster. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.