Nenda kwa yaliyomo

Because of You (wimbo wa Ne-Yo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Because of You”
“Because of You” cover
Single ya Ne-Yo
kutoka katika albamu ya Because of You
Imetolewa 4 Februar1, 2007/13 Machi 2007
Muundo CD single, 12" single
Imerekodiwa 2007
Aina R&B
Urefu 3:46
Studio Def Jam
Mtunzi Eriksen, Hermansen, Smith
Mtayarishaji Stargate
Mwenendo wa single za Ne-Yo
"Sexy Love"
(2006)
"Because of You"
(2007
"Do You"
(2007)

"Because of You" ni wimbo wa mwaka wa 2007 uliotolewa na mwimbaji-mtunzi wa muziki wa R&B - Ne-Yo. Huu ni wimbo kwanza kutoka katika albamu yake iujulikanayo kwa jina hilohilo la Because of You. Wimbo umeanza kupigwa katika vituo vya maredio kunako tarehe 4 Februari ya mwaka wa 2007.[1][2]

Chati (2007) Nafsi
Iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 2
U.S. Billboard Hot Dance Club Play 11
U.S. Billboard Nyimbo Bora za Hot R&B/Hip-Hop 7
U.S. Billboard Pop 100 3
Australia ARIA Top 100 Singles Chart[3] 23
Austrian Singles Chart[4] 64
Canada BDS Airplay 49
Czech IFPI Chart 27
Dutch Top 40[5] 12
Ireland IRMA Top 50 Singles 10
New Zealand RIANZ Top 50 Singles 1
Sweden Top 60 Singles[6] 24
Top 50 Portugal 18
United World Chart 9
UK Top 75 Singles 4
  1. MMR 24/7 Song Airplay, 7-day chart
  2. NEW Ne-Yo "Because of You" Ilihifadhiwa 2 Februari 2007 kwenye Wayback Machine. CONCRETELOOP.COM 31 Januari 2007
  3. Top 50 Singles Chart - Australian Record Industry Association
  4. Austrian Singles Chart
  5. "Radio 538 = 102 FM - Top 40". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-28. Iliwekwa mnamo 2008-10-20.
  6. Swedish Chart

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]