Nicole Scherzinger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Nicole Scherzinger
Nicole mnamo Agosti 2012
Nicole mnamo Agosti 2012
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Nicole Elikolani Prescovia Valiente
Pia anajulikana kama Nicole Kea
Amezaliwa 29 Juni 1978 (1978-06-29) (umri 45)
Honolulu, Hawaii, Marekani
Asili yake R&B, hip hop, pop
Kazi yake Mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji, mwigizaji, mwanamitindo
Miaka ya kazi 2001–hadi leo
Studio Polydor, A&M, Interscope
Ame/Wameshirikiana na Pussycat Dolls, Days of the New, Timbaland, Sean Combs, Keri Hilson, T.I., Will.I.Am, Sean Garrett, Will Smith, Nelly, Rihanna
Tovuti www.hernameisnicole.com

Nicole Prescovia Elikolani Valiente Scherzinger[1] (pia anajulikana kama Nicole Kea) (amezaliwa tar. 29 Juni 1978) ni mwimbaji wa R&B, mtunzi wa nyimbo, mnenguaji, mwanamitindo, na mwigizaji kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kuwa kama mwimbaji kiongozi wa kundi la muziki la The Pussycat Dolls. Amechekua jina la Scherzinger kwa sababu alilielewa na baba wa kufikia aliyekuwa Mjerumani.

Wasifu[hariri | hariri chanzo]

Maisha ya awali[hariri | hariri chanzo]

Scherzinger alizaliwa mjini Honolulu, Hawaii na baba Mfilipino na mama Mhawaii/Mrusi.[2] Mama yake aliitwa Rosemary, na wakati ana mzaa Scherzinger alikuwa na umri wa miaka kumi na minane na wakawa wanaishi mjini inner city, lakini baadaye familia ikatengana wakati Scherzinger bado mdogo.

Baadaye familia ikaamia rasmi mjini Louisville, Kentucky wakati huo alikuwa na umri wa miaka sita, akiwa pamoja na ndugu yake wa kike aitwaye Ke'ala aliyezaliwa na baba Mjerumani Mwamerika Bw. Gary Scherzinger.[3][4]

Maisha binafsi[hariri | hariri chanzo]

Kwa sasa Scherzinger anatembea na Lewis Hamilton, kukiwa na fununu za kusema kuwa wawili hao wataoana punde.

Muziki[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia Eden's Crush na Albamu na Nyimbo za Pussycat Dolls kwa taarifa ya albamu na kazi alizofanya akiwa pamoja na hilo kundi.

Albamu[hariri | hariri chanzo]

Single[hariri | hariri chanzo]

Single alizoshirikishwa[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nicole Scherzinger.
  2. Nicole Scherzinger - Askmen.com.
  3. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-06-04. Iliwekwa mnamo 2008-11-10. 
  4. "Pussycat Dolls Nicole She says she's 'only a 5 out of 10 for looks'". The Sun. Iliwekwa mnamo 2008-08-30. 

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu: