Nenda kwa yaliyomo

Brick na Lace

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brick na Lace
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Brick na Lace
Nchi Jamaika
Aina ya muziki R&B na Raga
Miaka ya kazi 2000 - Mpaka leo
Ameshirikiana na Nicole Scherzinger
Ala Sauti
Kampuni Kon Live Distribution
180 Entertainment
Geffen Records

Brick na Lace ni kikundi cha wanamuziki wanaoimba nyimbo aina ya R&B na raga kutoka nchini Jamaika. Awali kikundi hiki kiliundwa na wanadada watatu walio ndugu, Tasha, Nyanda na Nailah Thourborne. Baadaye Tasha alijitoa na kuwa mtunzi tu wa nyimbo za kikundi hiki. Kikundi kimesaini mkataba na studio kadhaa za kurekodi muziki za Kon Live Distribution, 180 Entertainment, na Geffen Records.

Maisha ya awali

[hariri | hariri chanzo]

Nyanda na Nailah Thourborne walizaliwa mjini Kingston, Jamaika, na baba Mjamaika na mama Mwamerika mweupe. Toka hapo awali wanandugu hawa walikuwa wakidai kwamba wao wanataka kuwa wanamuziki, huku wakijitamba kwamba wao ni masuriama. Wandugu hao pia waliwahi kuonekana katika baadhi ya tepu za nyimbo mchanganyiko kabla ya kubahatika kuingia mkataba na 180 Entertainment, na baadae kwa Akon, Kon Live Distribution.

Kikundi hiki kimefanya ziara za kimuziki katika nchi mbalimbali ikiwamo nchi za Afrika kama vile Malawi, Kenya, Nigeria, Uganda, Senegal, Tanzania, Zambia and Zimbabwe.[1][2]

Albamu na nyimbo maarufu

[hariri | hariri chanzo]
Kasha Maelezo
Love Is Wicked
  • Imetolewa: 2007
  • Nafasi iliyoshika: TBA
  • Billboard 200: TBA
  • Mauzo katika US: TBA
  • RIAA: TBA

Nyimbo maarufu

[hariri | hariri chanzo]
  1. Never Never
  2. Never, Never (Remix)
  3. Love Is Wicked
  4. Get That Clear

Nyimbo walioshirikishwa

[hariri | hariri chanzo]
  1. Puakenikeni (Nicole Scherzinger akish. Brick na Lace)[3]


Diskographia

[hariri | hariri chanzo]
Year Album Peak chart positions Certifications
US FRA[4] POL AUT SWI[4] FIN BEL
2007 Love Is Wicked - 80 14 - 93 - 25
Year Title Chart Positions Album
BEL FR POR POL FIN NOR SWE SWI
2006 "Get That Clear (Hold Up)" 23 Love Is Wicked
2007 "Love Is Wicked" 44[7] 4[7] 2 14 6[7] 13[7] 27[7] 63[7]
"Never Never" 14[8]
2008 "Take Me Back"
2009 "Bad to Di Bone"
2011 "In Love With The Music (ft Golden Crew)"
2012 "This Time (ft Kizzo)"
"How I Like It (ft Remady)"
2013 "Club Saved My Life (ft Wally Lopez & J. Balvin)"
2014 "Heart Beat"


  1. Ghana Uganda: What It Took to Get Brick & Lace On Stage. The Monitor (Kampala) 4 January 2008
  2. History of Brick & Lace. Guardian. 24 Mar 2008
  3. Nicole Scherzinger feat. Brick & Lace - Puakenikeni, iliwekwa mnamo 2022-12-01
  4. 4.0 4.1 "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-08. Iliwekwa mnamo 2015-12-23. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  5. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-09-03. Iliwekwa mnamo 2013-09-08. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  6. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-03-27. Iliwekwa mnamo 2013-03-09. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  7. 7.0 7.1 7.2 7.3 7.4 7.5 "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-07. Iliwekwa mnamo 2015-12-23. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link)
  8. "Archived copy". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-07. Iliwekwa mnamo 2015-12-23. {{cite web}}: Unknown parameter |deadurl= ignored (|url-status= suggested) (help)CS1 maint: archived copy as title (link)

Vingo vya nje

[hariri | hariri chanzo]