Wombati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wombati
Wombati wa kawaida (Vombatus ursinus)
Wombati wa kawaida (Vombatus ursinus)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Ngeli ya chini: Marsupialia (Wanyama wanaobeba watoto wao ndani ya pochi ya ngozi))
Oda: Diprotodontia (Wanyama wenye meno makubwa mawili mbele kwa mdomo)
Nusuoda: Vombatiformes (Wanyama kama wombati)
Familia: Vombatidae
Burnett, 1829
Ngazi za chini

Jenasi 6 na spishi 3 zilizopo bado:

Wombati ni marsupialia wenye miguu midogo ambao wanapatikana nchini Australia. Wana urefu wa mita moja. Wanyama hao wapo wa aina tatu za spishi na wapo katika familia ya Vombatidae.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wombati kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.