Nenda kwa yaliyomo

Willy Paul

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Willy Paul Msafi
Jina la kuzaliwa Wilson Abubakar Radido
Amezaliwa Februari 4 1993 (1993-02-04) (umri 31)
Asili yake Nairobi , Kenya
Aina ya muziki Mwanamuziki
Kazi yake Mwimbaji
Aina ya sauti Piano
Miaka ya kazi 2010–mpaka sasa
Studio Teddy B,Saldido Records
Tovuti www.willypaulmsafi.com

Willy Paul (jina halisi: Wilson Abubakar Radido; alizaliwa 4 Februari 1993) ni mwimbaji na mwanamuziki wa njimbo za Kiinjili na za kidini kutoka Nairobi, Kenya.[1]

  1. Boniface Mwalii. "Willy Paul Biography", Daily Nation, 17 November 2012. Retrieved on 23 March 2019. Archived from the original on 2019-03-30.