Western Stima

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Western Stima
Logo
Rangi nyumbani

Western Stima Football Club ni kilabu cha soka nchini Kenya kilicho na makao mjini Kakamega. Kilabu hiki huchezea mechi zao za nyumbani katika uwanja wa Bukhungu Stadium, na pia katika uwanja wa Moi Stadium mjini Kisumu[1] - viwanja vyote vikiwa na uwezo wa kukimu mashabiki elfu tano. Western Stima kwa sasa inacheza katika Ligi Kuu ya Kandanda ya Kenya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]