Bukhungu Stadium

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Bukhungu Stadium ni uwanja wa michezo uli katika Mji wa Kakamege.Uwanja huu unabeba takribani mashabiki elfu tano [1].Uwanja huu hutumika haswa kwa michezo ya kandanda.Michezo mingine kama vile riadha hufanyikia hapo.Pia,michezo ya shule za upili hufanyikia hapo.Mikutano ya hadhara kama vile mkutano ule wa Mwai Kibaki na Michael Kijana Wamalwa mwaka wa 2002,walipotangaza kuwa chama chao cha NAK [2] kingeungana na kile cha Rainbow Alliance kilichoongozwa na Raila Odinga.

Sakafu[hariri | hariri chanzo]

Sakafu ya uwanja huu ni wa nyasi.

Western Stima FC[hariri | hariri chanzo]

Uwanja huu ni nyumbani mwa kilabu cha kandanda cha Western Stima FC kilicho katika Ligi Kuu ya Kandanda ya Kenya.[3].

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bukhungu Stadium kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.