Western Lakes (jimbo)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Western Lakes State
Mahali pa Western Lakes katika Sudan Kusini
Mahali pa Western Lakes katika Sudan Kusini
Nchi Sudan Kusini
Makao makuu Rumbek
Idadi ya kaunti 9
Idadi ya manispaa
Serikali
 - Gavana Matur Chut Dhuol

Western Lakes State ni mojawapo kati ya majimbo 32 yanayounda Sudan Kusini.

Imegawanyika katika kaunti 9: Rumbek County (makao makuu: Rumbek), Eastern Bhar Naam County (makao makuu: Aduel), Wulu County (makao makuu: Wulu), Western Bhar Naam County (makao makuu: Pacong), Malueth County (makao makuu: Meen), Malek County (makao makuu: Malek), Aloor County (makao makuu: Maper), Bhargel County (makao makuu: Bhargel) na Amongping County (makao makuu: Amongpiny).[1][2]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. "9 Counties Established In Western Lakes State", Gurtong, 30 August 2016. Retrieved on 27 November 2016. 
  2. "Nine new counties created in Western Lakes states", Sudan Tribune, 1 September 2016. Retrieved on 27 November 2016. Archived from the original on 2016-11-03. 
Africa satellite plane.jpg Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Western Lakes (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.