Waswevi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uhamisho wa makabila ya Kigermanik wakati wa Uhamisho mkuu wa Ulaya; Ramani inaonyesha Dola la Roma katika magharibi na mashariki na njia za Wahunni, Wavandali, Wagothi, Waanglia-Wasaksoni, Wafaranki, Waburgundi na Walombardi

Waswevi (au Waswebi) walikuwa kabila la Kigermanik ambao baadhi yao katika karne za kwanza BK walihama kutoka sehemu za Ulaya ya Kati hadi Hispania kaskazini mashariki na Ureno kaskazini za leo wakiunda ufalme wao uliodumu miaka 410-584.

Kwanza walipokea Ukristo kutoka kwa Waario, lakini baadaye wakajiunga na Kanisa Katoliki kwa juhudi za Martino wa Braga.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waswevi kama enzi zake au matokeo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.