Wamisionari wa Upendo
Mandhari
Wamisionari wa Upendo ni shirika la kitawa la Kanisa Katoliki lililoanzishwa na Mama Teresa huko Kolkata, India mwaka 1950[1], ili kusaidia watu walio fukara zaidi duniani kote[2] .
Kufikia mwaka 2020 masista wake, wakiwemo waliojifungia kusali tu na wanaohudumia watu pia, walikuwa 5,167 katika nchi 139.
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Mother Teresa of Calcutta". vatican.va. Vatican.
- ↑ Muggeridge (1971) chapter 3, Mother Teresa Speaks, pp. 105, 113.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- González-Balado, José Luis; Teresa (1997). Mother Teresa: in my own words. New York: Gramercy Book. ISBN 0-517-20169-0.
- Brian Kolodiejchuk; Mother Teresa (2007). Mother Teresa: come be my light: the private writings of the "Saint of Calcutta". Garden City, N.Y: Doubleday. ISBN 978-0-385-52037-9.
- Muggeridge, Malcolm. Something Beautiful for God. London: Collins, 1971. ISBN|0-06-066043-0
- Christopher Hitchens: The Missionary Position: Mother Teresa in Theory and Practice (Verso, 1995) ISBN|1-85984-054-X. Plus a debate in the New York Review of Books: Defense of Mother Teresa, Hitchens' answer, Leys' reply.
- Mary Johnson (2011). An Unquenchable Thirst: Following Mother Teresa in Search of Love, Service, and an Authentic Life. ISBN 978-0385527477.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Mother Teresa Of Calcutta Center
- Missionaries of Charity Brothers (active branch)
- Mother Teresa biography at the Nobel Prize foundation site has some information on the history and activities of the Missionaries of Charity.
- Time Magazine 100 Most Important People of the Century
- Eternal Word Television Network – History of the order and bio of Sister Nirmala
- Letter by Pope John Paul II on the 50th anniversary of the order in 2000
- Teresa's volunteers Ilihifadhiwa 16 Aprili 2010 kwenye Wayback Machine. – Photo document on volunteers working at Nirmal Hriday in Calcutta, by photographer Wim Klerkx, 1998
- "Volunteering for Mother Teresa's Missionaries of Charity", New York Times – one volunteer's experience]
- Missionaries of Charity Fathers Website
Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wamisionari wa Upendo kama historia yake au maelezo zaidi? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |