Vincent Ndumu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ndumu Nji Vincent alizaliwa Oktoba 16, 1960, ni mhandisi wa ujenzi wa Kameruni, ambaye alihudumu kama Mjumbe wa Serikali kwenye Halmashauri ya Jiji la Bamenda kuanzia Machi 2009 hadi Februari 2020 [1] Pia aliwahi kuwa Raisi wa Zabuni ya Bodi ya GCE. Amemuoa (Hilda Ndumu Swiri) na ni baba wa watoto 4. Alipo teuliwa kwa Amri ya Raisi, amekuwa mjumbe wa serikali tangu Machi 2, 2009, alipochukua hatamu kutoka kwa Tadzong Abel Ndeh ambapo alihudumu kwa miaka 16. [1] Kabla ya kuwa msimamizi wa hili, alifanya kazi kwenye Wizara ya Ujenzi wa Umma na msimamizi wa vituo vya mizani kutoka ofisi ya Waziri Mkuu. Wakati huo alikuwa Mshauri wa Kiufundi (Conseiller Technique).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 1.0 1.1 Emmanuel F. Sanosi (2009-03-02). "Newly appointed Bamenda Government Delegate unveils priority action plan". L'Effort Camerounais. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-04-02. Iliwekwa mnamo 2012-05-13. 
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Vincent Ndumu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

}