Vandana Shanbagh
Mandhari
Vandana Pandurang Shanbhag (alizaliwa 19 Septemba 1965) ni mwanariadha wa zamani wa kike wa India ambaye aliwakilisha India kwenye Olimpiki ya mwaka 1988 katika mbio za kupokezana za mita 4 x 400. Yeye pia ni mchezaji wa Kho-kho. Alishinda medali ya fedha katika mbio za mita 400 za wanawake katika Mashindano ya Riadha ya Asia ya mwaka 1987 yaliyofanyika Singapore. Alitunukiwa Tuzo la Arjuna kwa mafanikio bora katika michezo ya India. [1]
Ameolewa, ana binti na anaishi Mangalore.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Vandana Shanbagh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |