Valerie Adler
Mandhari
Valerie Adler ni msanii wa uchoraji na pia mbunifu wa Afrika Kusini
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Valerie Adler alizaliwa nchini Afrika Kusini na baadaye kuhamia Uingereza akiwa na umri wa miaka kumi na saba na kisha kujiunga na shule ya sanaa na ubunifu ya Inchbald School of Design.[1]
Mwaka 1970, baada ya miaka kumi na saba nchini Uingereza alihamia katika nchi ya Israeli alikojifunza kuhusu Historia ya sanaa katika chuo kikuu cha Hebrew University of Jerusalem.[2] Kisha alijifunza masomo ya uchoraji kutoka kwa Asher Rodnitsky.[1] Mwaka 1982 Adler alirejea katika jiji la London katika shule ya sanaa ya Chelsea School of Art.[2] na mapema mwaka 1990 alirejea tena nchini Isareli.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 1.2 David Buckman (1989). Artists in Britain Since 1945. Art Dictionaries Ltd. ISBN 0953260909.
- ↑ 2.0 2.1 Frances Spalding (1990). 20th Century Painters and Sculptors. Antique Collectors' Club. ISBN 1 85149 106 6.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Valerie Adler kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |