Uwanja wa Nuuk

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Uwanja wa Nuuk

Uwanja wa ndege wa Nuuk ni uwanja wa michezo wa Nuuk,uliopo Greenland, mara nyingi ukitumika kwa ajili ya mchezo wa mpira wa miguu, wenye uwezo wa kuchukua mashabiki 2,000.[1]

Uwanja huu unatumika pia kwa ajili ya matamasha mbalimbali,mwezi 27 Novemba 2007 kundi la muziki la Nazareth Band lilifanya onyesho katika uwanja huu.[2] Mnamo tarehe 1 Aprili 2011. uwanja huu ulitembelewa na Suzi Quatro.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "World Stadiums entry". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-06-05. Iliwekwa mnamo 2021-06-07.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
  2. "Nazareth's Concert Listing". Iliwekwa mnamo 2014-10-13. 
  3. "Schedule for Inussivik Stadium". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-03-21. Iliwekwa mnamo 2011-03-30.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Uwanja wa Nuuk kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.