Unpretty
"Unpretty" | ||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Wimbo wa TLC | ||||||||||
kutoka katika albamu ya FanMail | ||||||||||
Imetolewa | Agosti 10, 1999 | |||||||||
Muundo | CD single, 12" single, cassette single | |||||||||
Imerekodiwa | 1998; D.A.R.P. Studios Bosstown Recording Studios (Atlanta, Georgia) | |||||||||
Aina | Pop rock, R&B | |||||||||
Urefu | 4:38 | |||||||||
Studio | LaFace, Arista | |||||||||
Mtunzi (wa) | Dallas Austin, Tionne Watkins | |||||||||
Mtayarishaji (wa) | Dallas Austin | |||||||||
Wendo wa nyimbo za TLC | ||||||||||
|
"Unpretty" ni jina la kutaja wimbo uliorekodiwa na kuimbwa na kundi zima la Kimarekani TLC. Wimbo ulitayarishwa na Dallas Austin na ulitungwa ushirikiano baina ya Austin na wanakundi la TLC Tionne "T-Boz" Watkins kwa ajili ya albamu yao ya tatu iliyoitwa FanMail (1999). Wimbo umetengenezewa shairi lenye jina sawa na hili ambalo limetungwa na Watkins, ambalo linashughulika na harakati za mwanamke na taswira yake mwenyewe na mtazamo sio wa uzuri wake unaoneshwa kwenye vyombo vya habari. Mchangizi wa zamani Dallas Austin alisamsaidia Watkins kuigiza shairi hilo katika kutunga wimbo kwa ajili ya kumwezesha mwanamke wa kituo chao cha washabiki ilimradi kuyashinda mawazo ya kujiona pungufu katika jamii.
"Unpretty" kilikuwa kibao cha pili kutolewa katika FanMail. Ikawa kibao cha nne cha kundi kufikia nasasi ya nne katika chati za Billboard Hot 100, kikitumia majuma matatu kwenye chati, na kibao namba moja mfululizo kutoka katika albamu, ikafuatiwa na "No Scrubs". Kwa mafanikio makubwa, wimbo ulipata kuchaguliwa kama "Wimbo Bora wa Mwaka na Pop Bora Iliyoimbwa na Watu Zaidi ya Wawili na Sauti kwenye tuzo za Grammy Awards. Remixi ya wimbo huu, imechukua sampuli ya Dennis Edwards na Siedah Garrett ' katika kibao cha "Don't Look Any Further", kilitayarishwa na JayDee of 1208Ent. na "Mad" Mike Lewin.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]
|
|
Chati
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Australian-charts.com – TLC – Unpretty". ARIA Top 50 Singles. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "TLC – Unpretty Austriancharts.at" (in German). Ö3 Austria Top 40. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Ultratop.be – TLC – Unpretty" (in Dutch). Ultratop 50. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Ultratop.be – TLC – Unpretty" (in French). Ultratop 40. Ultratop & Hung Medien / hitparade.ch. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Finnishcharts.com – TLC – Unpretty". Suomen virallinen lista. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Lescharts.com – TLC – Unpretty" (in French). Les classement single. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Kigezo:Singlechart/germanencode/Kigezo:Singlechart/germanencode/single Die ganze Musik im Internet: Charts, News, Neuerscheinungen, Tickets, Genres, Genresuche, Genrelexikon, Künstler-Suche, Musik-Suche, Track-Suche, Ticket-Suche - musicline.de" (in German). Media Control Charts. PhonoNet GmbH. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Nederlandse Top 40 – TLC search results" (in Dutch) Dutch Top 40. Stichting Nederlandse Top 40. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Charts.org.nz – TLC – Unpretty". Top 40 Singles. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Norwegiancharts.com – TLC – Unpretty". VG-lista. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Swedishcharts.com – TLC – Unpretty". Singles Top 60. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "TLC – Unpretty swisscharts.com". Swiss Singles Chart. Hung Medien. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "Chart Stats – TLC – Unpretty" UK Singles Chart. Chart Stats. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "TLC Album & Song Chart History" Billboard Hot 100 for TLC. Prometheus Global Media. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "TLC Album & Song Chart History" Billboard Pop Songs for TLC. Prometheus Global Media. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ "TLC Album & Song Chart History" Billboard R&B/Hip-Hop Songs for TLC. Prometheus Global Media. Retrieved 2013-01-19.
- ↑ http://www.aria.com.au/pages/aria-charts-end-of-year-charts-top-100-singles-1999.htm
- ↑ "Billboard Top 100 - 1999". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2006-11-10. Iliwekwa mnamo 2010-08-28.
- ↑ Geoff Mayfield (Desemba 25, 1999). 1999 The Year in Music Totally '90s: Diary of a Decade - The listing of Top Pop Albums of the '90s & Hot 100 Singles of the '90s. Billboard. Iliwekwa mnamo Oktoba 15, 2010.
{{cite book}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Full lyrics of this song Ilihifadhiwa 6 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine. at MetroLyrics
[[[Jamii:Nyimbo za TLC]]
- CS1 errors: markup
- CS1 maint: date auto-translated
- Singlechart usages for Australia
- Singlechart
- Singlechart usages for Austria
- Singlechart usages for Flanders
- Singlechart usages for Wallonia
- Singlechart usages for Finland
- Singlechart usages for France
- Singlechart usages for Germany
- Singlechart usages for Dutch40
- Singlechart usages for New Zealand
- Singlechart usages for Norway
- Singlechart usages for Sweden
- Singlechart usages for Switzerland
- Singlechart used with UKchartstats instead of UK
- Singlechart usages for UKchartstats
- Singlechart usages for Billboardhot100
- Singlechart usages for Billboardpopsongs
- Singlechart usages for Billboardrandbhiphop
- Nyimbo za 1999