Unafasishaji sentensi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Unafasishaji sentensi wa mara mbili dhidi ya unafasishaji sentensi wa mara moja.

Katika uchapaji na utarakilishi, unafasishaji sentensi (kwa Kiingereza: sentence spacing) ni mabadiliko ya nafasi kati ya sentensi za andiko moja. Mtumiaji anaweza kubadilisha unafasishaji sentensi kwenye kichakata matini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).