Tuzo ya Anthologise

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Tuzo ya Anthologise ni mashindano ya kitaifa ya mashairi kwa shule za upili za nchini Uingereza.[1] yaliyoanza mwezi Septemba mwaka 2011 kwa kuongozwa na Carol-Ann Duffy na kusimamiwa na kampuni ya uchapishaji Picador.[2]

Wanafunzi wa shule kati ya umri wa miaka 11 hadi 18 wanakaribishwa kushiriki katika mashindano hayo kwa kuandika diwani zao na kuziwakilisha kwa majaji. Mwaka 2011 majaji wa tuzo hiyo walikuwa Carol-Ann Duffy, Gillian Clarke, John Agard, Grace Nichols, na profesa wa mashairi ya watoto, Morag Styles.

Washindi wa kwanza wa tuzo hiyo walikuwa Monkton Combe School pamoja na Bath, na diwani yao iliitwa The Poetry of Earth is Never Dead.[3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. "Anthologise Poetry Competition - Poetry Book Society". Poetrybooks.co.uk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2014-02-25. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
  2. Anthologise: A Message From Carol Ann Duffy, tovuti ya https://www.panmacmillan.com/picador ya 31 Agosti 2011, iliangaliwa Aprili 2020 kupitia archive.org
  3. "Monkton win Anthologise". Monkton Combe School. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-14. Iliwekwa mnamo 2014-02-25. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tuzo ya Anthologise kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.