Tume ya UKIMWI Tanzania
Mandhari
Tume ya UKIMWI Tanzania (TACAIDS) ni shirika la kiserikali la Tanzania lililopewa jukumu la kuratibu mwitikio wa Tanzania kwa janga la VVU / UKIMWI.
TACAIDS ilianzishwa tarehe 1 Desemba 2000 kwa tangazo la Rais Benjamin Mkapa.[1][2]
Marehemu Reginald Mengi aliwahi kuwa kamishna wa TACAIDS.[3]
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Kuhusu TACAIDS". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
- ↑ "Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) – Holtan East Africa Ltd" (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
- ↑ "Dr. Mengi,Executive Chairman of IPP Limited CV and Career Profile". www.ippmedia.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-08.