Programu ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukimwi
Mandhari
Programu ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukimwi (NACP) ni shirika la afya la kiserikali la Tanzania ambalo lilianzishwa mwaka 1986 na linalofanya kazi chini ya Wizara ya Afya ya nchi hiyo.[1][2]
NACP Ni bodi ya kutunga sera, juu ya suala la VVU na UKIMWI nchini Tanzania.
Programu ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukimwi inatoa kwa umma habari kuhusu VVU, UKIMWI, na magonjwa mengine ya zinaa.[1] Hivi sasa, shirika linajitahidi kufikia lengo la 90-90-90 lililowekwa na UNAIDS,[3] bila kujali maadili ya dini na utamaduni wa Kiafrika.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ 1.0 1.1 "About – NACP-National AIDS Control Programme" (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
- ↑ "National AIDS Control Programme (NACP) | EAC Knowledge Management (KM) Portal for Health". health.eac.int. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
- ↑ "90-90-90: treatment for all". www.unaids.org (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |